Utumbo tayari kwa kutengenezwa supu...
 Nyama ikiiva jikoni.
 
 Vijana wakisafisha utumbo kwa ajili ya supu...
 Nyama ikiendelea kuiva.
Kijana akigeuza nyama ndani ya jiko la kisasa, ikiwa ni maalum kwa ajili ya sherehe za kuaga na kuukaribisha mwaka 2013 ndani ya kiota cha maraha cha Friends Pub kilichopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: