Rais
Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la 1,
Dkt. Mohamed Seif Khatib- Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa sherehe ya
kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar
es Salaam. Picha Zote na Ofisi ya Makamu wa Rais
Baadhi ya Watunukiwa wakiwa katika hafla hito wakati wakisubiri kutunukiwa.
Rais
Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema
Daraja la (I), Alhaj Ramadhan Mussa Kijjah-Wizara Fedha, wakati wa
sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu,
jijini Dar es Salaam.
Rais
Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema
Daraja la (I), Ludovick Silemwa Lemnge Utouh- Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi,
wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja
vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Rais
Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema
Daraja la (ii), Ruth Rashid- Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa sherehe
ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini
Dar es Salaam.
Rais
Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Sanaa na Michezo, Bi Fatma Baraka
Khamis (Bi Kidude)-BASADA, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani,
iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Bi Kidude, akiwa katika pozi baada ya kuvishwa Nishani yake na Rais Kikwete, huku akiimba wimbo wake wa Laiti, kwa poooozi.
Rais
Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Sanaa na Michezo, Muhidin Mwalimu
Gurumo-Habari, Utamaduni na Michezo, wakati wa sherehe ya kutunuku
Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es
Salaam.
Rais
Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utunzaji Mazingira daraja la
(I) Bw. Reginald Abraham Mengi_Kamati ya Nishani, wakati wa sherehe ya
kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar
es Salaam.
Bw. Mengi akifurahia Nishani yake na kupozi kwa picha na Rais Jakaya Kikwete, baada ya kutunukiwa.
Rais
Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Ushupavu, P.8183 Maj M.A
Hassan-Mkoa wa Kigoma, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani,
iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimpongeza mwanamuziki wa Msondo, Muhidin Gurumo, kwa kutunukiwa
Nishani ya sanaa na Rais Kikwete.
Rais
Jakaya, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar, Dkt. Shein na mkewe, Bi
Mwanamwema, wakiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa kikundi cha
sanaa cha Taifa cha Rwanda wakati wa hafla ya usiku ya miaka 51 ya
Uhuru, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiteta jambo na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia, wakati wa
sherehe ya maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru iliyofanyika kwenye Viwanja
vya Ikulu Dar jana usiku.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiteta jambo na Inspekta General, Said Mwema na Kamishna wa Polisi
Zanzibar, Mussa Ali, wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka 51 ya
Uhuru iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar jana usiku.
Toa Maoni Yako:
0 comments: