Rais Jakaya mrisho kikwete, Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini na  Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia pamoja na   Katibu Mkuu wa SADC Dr.Tomaz Salomao. na Mawaziri wa nchi hizo wakipitia rasimu ya muhtasari wa kikao kabla ya kuanza kwa kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Desemba 8, 2012
Rais Jakaya mrisho kikwete, akikaribisha viongozi wenzie wa nchi za SADC katika  kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Desemba 8, 2012
Rais Jakaya mrisho kikwete, katika picha ya pamoja na  viongozi wenzie wa nchi za SADC katika  kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Desemba 8, 2012
PICHA NA IKULU
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: