Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Rais wa Madagacar, Andry
Rajoelina, wakati amkisindikiza kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam alipokuwa akiondoka nchini leo
Desemba 15, 2012 kurejea nchini kwake baada ya kumaliza ziara ya siku
mbili hapa nchini. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Bernard Membe. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (kulia) akiagana na Rais wa Madagacar, Andry Rajoelina, wakati alipokuwa akimsindikiza kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Desemba 15, 2012 kurejea nchini kwake baada ya kumaliza ziara ya siku mbili hapa nchini. Picha na OMR
Toa Maoni Yako:
0 comments: