Watu wanaosadikiwa kuiba vitu vya Marehemu Hussein Mkiety ‘Sharo Millionea’ aliyefariki kwa ajari ya gari katika kijiji cha Songa Kibaoni wilayani muheza, wamesalimisha baadahi ya vitu hivyo kwa mwenyekiti wa kijiji hicho huku wao wakiendelea kuishi mafichoni kuogopa kutiwa mbaroni.
Hatua ya watu hao kusalimisha vitu hivyo imekuja kufuatia hatua ya mkuu wa wilaya hiyo Subira Mgalu ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kuwatangazia kwamba wote walifanya jambo hilo watasakwa na kuchukuliwa hatua za kisheria.
Toa Maoni Yako:
0 comments: