Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangalloor
(katikati), akizungumza na mmoja wa wateja mashuhuri wa kampuni hiyo,
Jaji Joaquine Antoinette De-Mello(kushoto) katika onyesho maalumu la
muziki la Christmas la kwaya ya Dar Choral Society lililodhaminiwa na
Airtel katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es Salaam jana.
Kulia ni Mkurugenzi wa Wateja wa Makampuni wa Airtel. Irene Madeje.
Kikundi cha kwaya cha Dar Choral Society kikitumbiza katika onyesho
maalumu la muziki la Christmas la kwaya hiyo lililoandaliwa na Airtel
kwa wateja wao wa makampuni katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa,
jijini Dar es Salaam jana.
Father X-mas akitoa
zawadi kwa mmoja wa watoto waliohudhuria onyesho maalumu la muziki la
Christmas la kwaya ya Dar Choral Society lililoandaliwa na Airtel kwa
wateja wao wa makampuni katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, jijini
Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wanamuziki wa Kikundi
cha kwaya cha Dar Choral Society wakionyesha umahiri wao katika onyesho
maalumu la muziki la Christmas la kwaya hiyo lililoandaliwa na Airtel
kwa wateja wao wa makampuni katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa,
jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Wateja wa Makampuni wa Airtel, Irene Madeje (wa pili
kushoto) akizungumza na baadhji ya wateja wokatika onyesho maalumu la
muziki la Christmas la kwaya ya Dar Choral Society lililoandaliwa na
Airtel kwa wateja wao wa makampuni katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya watu waliohudhuria onyesho maalumu la muziki la Christmas la kwaya ya Dar Choral Society lililoandaliwa na Airtel kwa wateja wao wa makampuni katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es Salaam jana.



Toa Maoni Yako:
0 comments: