Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu
ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa
sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akionesha ufunguo
aliokabidhiwa na Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence Lytimo mbele
ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii
kuwa jiji
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ufunguo
wa kuwa mkaazi wa heshima wa Arusha toka kwa Meya wa Jiji la Arusha
Mstahiki Gaeudence Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha
katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za
kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimkabidhi hati rasmi ya kuuzindua mji wa Arusha kuwa jiji Meya wa
Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa
jiji la Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Mhe
Joshua Nassari akiwa ameketi bega kwa bega na Mama Mary Chatanda katika
Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za
kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea shukrani
toka kwa Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence Lyimo baada ya
kuzindua nembo ya jiji jipya la Arusha katika Mnara wa Azimio la Arusha
jijini humo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia
kuzindua rasmi nembo ya jiji la Arusha katika Mnara wa Azimio la Arusha
jijini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa meza kuu na viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua rasmi nembo ya
jiji la Arusha katika Mnara wa Azimio la Arusha jijini humo
Rais Jakaya Kikwete katika sherehe za kuzindua rasmi ujenzi wa barabara za jiji jipya la Arusha
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments: