Mwanasoka bora wa zamani wa Afrika na Ghana, Abedi Pele (kulia) akizungumza na waandishi wa habari, Abedi Pele ambaye kwasasa ni balozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu kimataifa (FIFA, yupo nchini kwaajili ya kuangalia miradi ya FIFA,katikati ni Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Leodega Tenga.
Mwanasoka bora wa zamani wa Afrika na Ghana, Abedi Pele (kushoto) akizungumza na wachezaji wa timu ya Taifa ya Vijana U-20 (Ngorongoro Heroes), katika Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam
Mwanasoka bora wa zamani wa Afrika na Ghana, Abedi Pele(wapili kutoka kulia) akiwasili kwenye Uwanja wa Karume kabla ya kuongea na wachezaji wa timu ya Taifa ya Vijana U-20 (Ngorongoro Heroes),Uwanjani hapo
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: