Keki ya kusherekea siku ya kuzaliwa ya Ester Kiama iliyofanyika Coco Beach jijini Dar .
Ester Kiama akiwa na rafiki yake Zilpa pamoja na dada Lucy na mwanae Brian.
Ester Kiama akisaidiwa kukata keki na rafiki yake Ashura.
Kila mmoja alikuwa na namna yake ya kusherekea.
Ester Kaima akimlisha keki mwanae Brian.
Mc wa shughuli akijiandaa  kufungua shampeni.
Mc wa shughuli aliamua kummwagia shampeni Ester ambaye alikuwa anasherekea siku yake ya kuzaliwa.
Mazungumzo ya hapa na pale yaliendelea.
Sabrina nae hakuwa nyuma kwenye keki.
Wageni waliohudhuria.
Keki tamu.
Umenilisha keki kubwa sana itadondoka.
Aha! Zipa nae aliamua kuweka na pozi la picha.
...Huku aliamua kujisalimisha wakati anakilishwa keki.
Pozi safi.
Wageni wakifurahia msosi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: