Reception ilifanyika Polisi Officers Mess - Dar es salaam
  Bwana na Bi. Jacob Francis Lukwaro wakiwa na wapambe wao.
  Wazazi wa Bwana Harusi Jacob Francis Lukwaro, Bwana na Bi. Francis Lukwaro wakifuatilia kwa makini.
 Show love.
Vijana wapambe...
 
 Watoto nao waling'aa.
Pongezi...
Wazazi wazaa chema, mama na baba wa Mema Margareth Berege.
Show love kwa marafiki.
Wazazi wa Bwana Harusi Jacob Francis Lukwaro, Bwana na Bi. Francis Lukwaro wakitoa nasaha zao.
Bibi Harusi Mema Margareth Berege akifurahi pamoja na wageni waalikwa waliofika katika sherehe yao ya kuwapongeza mara baada ya kufunga pingu za maisha na Bwana Jacob Francis Lukwaro. Sherehe ya kuwapongeza ilifanyika katika ukumbi wa Polisi Mess Jijini Dar.
Mama yake mzazi Mema Margareth Berege akifurahia.
Cherees!!!
Wageni waalikwa wakijiachia na ngoma ya kisambaa.

Ngoma ikipamba moto.
 Ngoma ya Kipogoro ikitoa burudani.

Bwana Harusi Jacob Lukwaro akimtambulisha rafiki yake ambaye wamezaliwa siku moja mbele ya wageni waalikwa mara baada ya kufanyiwa sherehe ya kushtukizwa (Suprise Birthday). Pembeni ni mkewe Mema Margareth Berege.
 Bwana Harusi Jacob Francis Lukwaro akimlisha keki rafiki yake.
 Bibi Harusi Mema Margareth Berege akikata keki.
 Marafiki waliozaliwa siku moja wakikata keki.
 Bwana na Bibi Jacob Francis Lukwaro.
 Bwana Ally Jamal akiwa na mkewe Rehema Bavuma (kushoto) pamoja na shemeji yake Ester Ulaya.
 Bwana  Cathbert Angelo akiwa na mkewe Ester Ulaya (kulia) pamoja na shemeji yake Bi. Rehema Bavuma.
Marafiki wakiwa katika picha ya pamoja.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: