Meneja wa Kinywaji cha Redd's Original, Victoria Kimaro
akizungumza na Warembo wa Redd's Miss Tanzania kabla Warembo hao
hawajaanza ziara rasmi ya Kutembelea Kiwanda cha Bia Tanzania,Ilala
mchikichini, jijini Dar es Salaam leo.
Mpishi wa Bia wa Kampuni ya Bia Tanzania,Godfrey
Mgalula akitoa ufafanizi kwa Warembo wa Redd's Miss Tanzania juu ya
upishi wa bia mbali mbali zinazozalishwa kiwandani hapo wakati Warembo
hao walipofanya ziara rasmi ya Kutembelea Kiwanda cha Bia Tanzania,Ilala
mchikichini,jijini Dar es Salaam leo.
Inginia wa Maswala ya Umeme wa TB, Elias Nyanda akiwaelezea mambo mbali mbali Warembo wwa Redd's Miss Tanzania.
Toa Maoni Yako:
0 comments: