Waziri wa Fedha Dr. William
Mgimwa(kushoto) na Balozi wa Ujerumani nchini Kluas Peter Brandes
(kulia) wakisaini mkataba wa msaada wa miaka mitatu jana mjini Dar es
salaam ambapo Ujerumani itaipatia Tanzania
msaada wa Shilingi bilioni 352 . Msaada huo utasaidia kuboresha utawala
bora katika serikali za mitaa, sekta ya afya , nishati , maliasili,
maji, mfuko wa bajeti ya Serikali na kuboresha programu ya usimamizi wa
fedha za umma.
Waziri wa Fedha Dr. William
Mgimwa(kushoto) na Balozi wa Ujerumani nchini Klaus Peter Brandes
(kulia) wakibadilishana hati za makubaliano ya mkataba wa msaada wa
miaka mitatu jana mjini Dar es salaam ambapo Ujerumani
itaipatia Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 352 . Msaada huo utasaidia
kuboresha utawala bora katika serikali za mitaa, sekta ya afya ,
nishati , maliasili, maji, mfuko wa bajeti ya Serikali na kuboresha
programu ya usimamizi wa fedha za umma.
Waziri wa Fedha Dr. William
Mgimwa(kushoto) akisoma hotuba jana mjini Dar es salaama mara baada ya
kusaini hati ya makubaliano na Balozi wa Ujerumani nchini Klaus Peter
Brandes (kulia) ya mkataba wa msaada wa miaka mitatu ambapo Ujerumani
itaipatia Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 352 . Msaada huo utasaidia
kuboresha utawala bora katika serikali za mitaa, sekta ya afya ,
nishati , maliasili, maji, mfuko wa bajeti ya Serikali na kuboresha
programu ya usimamizi wa fedha za umma.
Waziri wa Fedha Dr. William
Mgimwa(kushoto) na Balozi wa Ujerumani nchini Klaus Peter Brandes
(kulia) wapongezana jana mjini Dar es salaam mara baada ya pande mbili
kumaliza kusaini mkataba wa msaada wa miaka mitatu ambapo Ujerumani
itaipatia Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 352 . Msaada huo
utasaidia kuboresha utawala bora katika serikali za mitaa, sekta ya afya
, nishati , maliasili, maji, mfuko wa bajeti ya Serikali na kuboresha
programu ya usimamizi wa fedha za umma.
Balozi wa Ujerumani nchini Klaus Peter Brandes (kulia) akitoa
hotuba jana mjini Dar es salaama mara baada ya kusaini hati ya
makubaliano ya mkataba wa msaada wa miaka mitatu ambapo Ujerumani
itaipatia Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 352 . Msaada huo utasaidia
kuboresha utawala bora katika serikali za mitaa, sekta ya afya ,
nishati , maliasili, maji, mfuko wa bajeti ya Serikali na kuboresha
programu ya usimamizi wa fedha za umma.Kushoto ni Waziri wa Fedha Dr.
William Mgimwa.
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments: