Wasanii wa kikundi cha sanaa cha Mama Afrika wakionyesha umahiri wao wakati wa onyesho la sarakasi la Tigo Mama Afrika lililoandaliwa na Tigo kwa wafanyabiashara wadogo jijini Dar es Salaam jana.
Wasanii wa kikundi cha sarakasi cha cha Mama Afrika wakionyesha umahiri wao wakati wa onyesho la sarakasi la Tigo Mama Afrika Circus lilidhaminiwa na Tigo jana jijini Dar es Salaam.
Badhi ya watu waliohudhuria onyesho la sarakasi la Tigo Mama Afrika lililodhaminiwa na Tigo wakishanglia huku wakiwa hawaamini macho yao kutokana na umahiri uliokuwa ukionyeshwa na wasanii kwa kundi la sarakasi la Mama Afrika jinni Dar es Salaam jana.


Toa Maoni Yako:
0 comments: