JUMA
FUGAME PENZA
(1949
– 2011)
Leo 12.10.2012 umetima mwaka mmoja tangu baba yetu mpenzi Mzee
Juma Penza (JP) ulipotutoka hapa duniani kwenda kwenye uzima
wa milele siku ya tarehe 12.10.2011. Ilikuwa ni wakati mgumu sana
kwetu kuamini na kuona kweli hautakuwa pamoja nasi tena.Baba yetu kipenzi
sisi watoto wako tunakukumbuka sana kwa upendo wako na ucheshi wako
kwetu na tunakushukuru sana baba kwa malezi mazuri uliyotupatia.
Baba sisi tulikupenda sana ila mwenyezi mungu amekupenda zaidi, baba
yetu mpendwa (JP) tunakuombea, kila kukicha, mwenyezi mungu akulaze
mahali pema pemoni. Amen.
Unakumbukwa sana baba kwa upendo wako na ucheshi wako na dada zako,
watoto wako, wajukuu zako, ndugu na marafiki zako wote.
Toa Maoni Yako:
0 comments: