Mwakilishi Mkazi wa UNOPS Nchini Sierra Leone, Nd Omary Mjenga, akipiga picha ya kumbukumbu Pamoja na Balozi wa Marekani Nchini Sierra Leone Bw Michael Owen, alipomtembelea leo na kufanya mazungumzo naye.
Bwana Omary Mjenga akiagana na Mh. Balozi wa Marekani Nchini Siera Leone baada ya kumaliza mazungumzo. Balozi Michael Owen, aliwahi kuwa Naibu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania mnamo mwaka 2001 hadi 2004.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: