Wasamalia wema wakishirikiana na vikosi vya uokoaji kuzima moto.
Moto ukiendelea kuwaka kwa kazi ya ajabu.
Ilikuwa ni heka heka kila mmoja akihangaika kuzima.
Umati wa watu uliojitokeza eneo la tukio.
Wasamalia wema wakijitahidi kuhakikisha wanauzima moto.
Ilikuwa ni majonzi kwa kila aliyefika eneo la tukio.


Toa Maoni Yako:
0 comments: