Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran Dk. Mohammad Reza
Rahimi, walipokutana jana mjini Tehran na kuzungumzia masuala
mbalimbali yanayohusu uhusiano wa nchi zao.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya
pamoja na ujumbe wa Serikali ya Tanzania uliohudhuri Mkutano wa 16 wa
Wakuu wa Nchi za Siasa ya Kutofungamana na upande wowote
uliomalizika jana mjini Tehran, Iran.
(Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments: