Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi makubaliano yaliyofikiwa
na Wakuu wenzake wa Nchi na Serikali za Ukanda wa Maziwa Makuu baada
ya mkutano wao uliofanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Speke
Resort Munyonyo mjini Kampala, Uganda,
Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia
waraka wenye makubaliano kabla ya yeye na Wakuu wenzake wa Nchi na
Serikali za Ukanda wa Maziwa Makuu kuuweka sahihi baada ya mkutano wao
uliofanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Speke Resort Munyonyo
mjini Kampala, Uganda.
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments: