Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Inspekta
Generali, Said Mwema, wakati alipofika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya
Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar leo Sept 05, 2012
kwa ajili ya kufungua mkutano wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka
Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wa kujadili uhalifu wa
Kimataifa kuhusu madawa ya kulevya na kuimarisha uhusiano kwa nchi za
Afrika kiulinzi.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo kutoka nchi mbalimbali za
Afrika, wakiwa katika mkutano huo uliofanyika leo Sept 05, 2012
katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal (katikati) akijumuika kuimba wimbo wa Taifa na wakuu wa
Jeshi la Polisi Inspekta Generali, Said Mwema (wa pili kushoto)
wakati alipofika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach
Resort, mjini Zanzibar leo Sept 05, 2012 kwa ajili ya kufungua
mkutano wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka Nchi za Kusini mwa
Afrika (SADC) wa kujadili uhalifu wa Kimataifa kuhusu madawa ya
kulevya na kuimarisha uhusiano kwa nchi za Afrika kiulinzi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Inspekta Generali, Said Mwema, akisoma hoyuba yake
ya ukaribisho wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Wakuu wa Majeshi
ya Polisi kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wa kujadili uhalifu
wa Kimataifa kuhusu madawa ya kulevya na kuimarisha uhusiano kwa
nchi za Afrika kiulinzi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal,akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano wa Wakuu wa
Majeshi ya Polisi kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wa kujadili
uhalifu wa Kimataifa kuhusu madawa ya kulevya na kuimarisha
uhusiano kwa nchi za Afrika kiulinzi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal,akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Plisi,
Inspekta Genarali, Saidi Mwema, baada ya kufungua mkutano wa Wakuu wa
Majeshi ya Polisi kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wa kujadili
uhalifu wa Kimataifa kuhusu madawa ya kulevya na kuimarisha uhusiano
kwa nchi za Afrika kiulinzi. Kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi
wa Afrika ya Kusini, Picha na OMR
Toa Maoni Yako:
0 comments: