Vijana fanyeni kazi mnajifanya mnakuja mjini utadhani mnashughuli za kufanya kumbe wezi, laiti mngemuona huyu kijana alivyokuwa mtanashati yani amevaa vizuri kachomekea na cheni ya silva juu, sura nzuri kajaliwa, lakini kakamatwa akimuibia mdada akaanza kukimbia wakaja kumkamatia Stanbic Bank Sukari house bila polisi kutokea watu wangemuua... muangalie huyo mwenye shati jeusi. Shukrani mdau Jesca Tarimo wa Kajunason Blog.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: