Wauzaji wa vipodozi vya kisasa na vya aina yake SKIN SOLUTION waliopo Mikocheni kwa Mwinyi jirani na Baraka Plazza jijini Dar es Salaam au zilipokuwa Ofisi za Share Illusion wamekushushia mzigo mpya maalum kwa ajili ya Idd El Fitri.
Nenda Skin Solutions ukayajue mengi na utapata ushauri unaoendana na ngozi yako juu ya kipodozi gani ukitumie na kikufanye upendeze kama ni MAKARI  au OBAGI utajua hapo!!.
Kama kawa Obagi wameongeza za kutosha baada ya za kwanza kumalizika!! uzuri wa wateja wa Skin Solutions wako tayari kutushuhudia mtaona hapa hapa
 Bidhaa maksusi kwaajili ya kusaidia kuiweka ngozi yako kuwa nyororo na yakuvutia daima na iliyo na afya. Ununuapo hii unapata vitu kibao kama vile Special daily wash, toner, moisturizer with spf 15. 
VIPODOZI ZAIDI BOFYA >>>>>>> FATHER KIDEVU BLOG
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: