Umati
wa watu uliofurika kwa Mganga wa Jadi Flora Ndembo Namabengo wilaya ya
Namtumbo Mkoani Ruvuma watu wapatao 400 wameomba Serikali ichukue Mkondo
wa Sheria pia Mtoto wa Pili wa Mama Kondrada Ngonyani ameomba Serikali
ichukue hatua za kisheria dhidi ya Condorada Ngonyani na Joseph Mapunda.
Joseph
Mapunda mwenye umuri wa miaka 40 amesema ameweza kuishi kindoa na Mama
yake Mzazi Condorada Ngonyani 70 baada ya yeye kukubaliana wenyewe yeye
na mama yake mzazi kuishi kindoa kama mume na mke alipo ulizwa Mama alikiri kuwa kweli wameishi kindoa kwa miaka 10 na anampenda Mume wake ambaye ni Mtoto wake Joseph Mapunda.


Toa Maoni Yako:
0 comments: