Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib
Bilali akihutubia Mkutano wa Kumi na Sita wa Wakuu wa Nchi za Siasa
ya Kutofungamana na Siasa ya Upande wowote unaomalizika leo mjini
Teheran, Iran. Katika hotuba yake, pamoja na mambo mengine
alisisitiza msimamo wa Tanzania kuendelea kupigania haki, kutetea
wanyonge, kupinga ubeberu na ukandamizaji kote duniani, pia aliiasa
Jumuiya ya Kimataifa kutatua migogoro yote kwa njia ya amani.
(Picha
na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Toa Maoni Yako:
0 comments: