Mzozo umeibuka kati ya familia moja baada ya mahakama kuu kumzuia mwanamke mmoja wa asili ya ki Russia dhidi ya kuichoma maiti ya mumewe. Svetlana Radol anazozana na ukoo wa mumewe Dkt Joseph Owino Radol ambao wamepinga hatua hiyo ya kutaka maiti ya ndugu yao kuteketezwa moto. Badala yake wanamtaka marehemu kuzikwa nyumbani kwake huko Alego, kaunti ya Siaya.
Home
Unlabelled
MAHAKAMA KUU, KENYA YAMZUIA MWANAMKE MWENYE ASILI YA KI-RUSSIA KUICHOMA MAITI YA MUMEWE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: