Kiongozi wa jumuiya ya madaktari nchini Tanzania, Dk. Steven Ulimboka, amerejea leo nyumbani akitoka Afrika Kusini katika matibabu. Dk Ulimboka amepokelewa leo na madaktari wenzake, ndugu jamaa na marafiki, alipowasili Jumapili Agosti 12, 2012, kwenye uwanja wa ndege wa kiamataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea kwenye matibabu Afrika Kusini. Alisema yuko fiti na anaweza kufanya shughuli zozote atakazopewa kuanzia sasa.akiwasili jana Agosti 12, 2012 akitokea kwenye matibabu Afrika Kusini.
Umati wa watu uliojitokeza kumpokea kumpokea.
DR.ULIMBOKA, KABLA YA KUJERUHIWA, ALIPOJERUHIWA NA BAADA YA KUPONA
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments: