Marehemu
Belinda J. Mwapinga enzi za uhai wake.
Mwili
wa Belinda ukiwa katika kanisa la roman katoliki
extenal.
Baba
Padre akitoa heshima yake ya mwisho kwa mwili wa Belinda. J. Mwapinga jana
katika Kanisa la Katoliki Extenal Dar es salaam.
Joseph
Mwapinga mwenye suti nyeusi akiwa na watoto wake alio achiwa na mke wake kipenzi
Belinda.
Wafanyakazi
wa VODACOM Tanzania wakiwa wamebeba mwili wa Marehemu Belinda wakiufikisha
katika makaburi ya Kinondoni.
Hawa ni baadhi ya
waombolezaji waliohudhuria kwenye safari ya mwisho ya Belinda.
Mwili
wa Marehemu Belinda ukiwa umewekwa juu ya nyumba yake ya milele katika makaburi
ya Kinondoni Dar es salaam.
Mhandisi
Joseph Mwapinga akiweka shada la mauwa kwenye kaburi la Mke
wake.
Baba
Padre akisali sala ya mwisho kwa ajili ya kumuombea Marehemu Belinda J. Mwapinga
katika makaburi ya Kinondoni. Kulia
kwa Padre ni Joseph Mwapinga na mwenye Tshirt nyekundu ni rafiki wa karibu wa
familia, Ndugu Stephen Mapunda.
Marehemu Belinda J. Mwapinga alifariki
tarehe 20/07/2012 katika Hospitali ya Muhimbili na mazishi yake kufanyika tarehe
23/07/2012 katika makaburi ya Kinondoni.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA
BWANA LIBARIKIWE.
Toa Maoni Yako:
0 comments: