Tairosy Augustino Masangula mkazi wa Iringa Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
 Happy Chatanda Mshindo Iringawa Iringa Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
 Philipo Kidongososi wa Iringa Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.

David Kihenge wa Mtwara Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: