Kama hauamini basi angalia video hiyo kutoka NTV ya nchini Kenya Mchungaji Michael Njoroge wa Fire Ministries Embakasi, anaaminika kwa ibada za miujiza na upako, ambapo watu wengi hushuhudia kanisani wameponywa, wengine kupakwa mafuta, maji ya uponyaji, pia kumuona ni KSH 1000. nk
Hivi karibuni umeibuka mjadala juu ya huduma yake baada ya dada changudoa, kwa jina la Ester Mwende alipofanya mahojiano na Televishen ya NTV amedai analipwa kutoa ushuhuda wa uongo kwenye kanisa hilo, na amewatafuta wadada wengine wanaojiuza na kufanya kazi ya kudanganya shuhuda mbali mbali kanisani hapo, Ameamua kuweka wazi baada ya mchungaji kutomlipa pesa kama walivyokubaliana.
Toa Maoni Yako:
0 comments: