"Karibu
Mheshimiwa...." Anaonekana kusema Mkurugenzi wa World Economic Forum
kwa Afrika Bi. Elsie Kanza wakati wa kumpokea Rais Jakaya Kikwete
alipowasili hoteli ya Sheratonjijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo
April 9, 2012 tayari kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa
Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na
uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt Rajiv Shah
katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo April 9, 2012 ambako
kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika
linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi
kutoka sehemu mbalimbali duniani
Rais
Jakaya Kikwete katika maungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt Rajiv
Shah katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo April 9, 2012
ambako kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa
Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na
uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana na alipowasili hoteli ya Sheraton jijini
Addis Ababa usiku wa kuamkia leo April 9, 2012 tayari kuhudhuria
Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya
viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali
duniani. Picha/Ikulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments: