Basi la kampuni ya Kampuni ya Muro Investment,
Mmoja
wa wahusika wa basi hilo alidai kuwa chanzo cha ajali hiyo ni hitilafu
ya umeme iliyotokea katika gari hilo. Inadaiwa kuwa gari hilo lilipata
hitilafu katika taa na walipofika mjini Morogoro walifanyia marekebisho
na kuendelea na safari na walipofika maeneo hayo ya Maseyu likashika
moto.
Magari
yakipita pembeni ya basi hilo lililokuwa likiteketea kwa moto na
hapakuwa na askari wala magari ya zima moto yaliyoweza kuwahi kufika na
kuzima moto huo ulioliteketeza basi hilo kabisa. Picha/Mroki Mroki.
Toa Maoni Yako:
0 comments: