Hii ni moja ya Picha Kubwa
iliyochorwa katika ukuta wa bweni ambalo wanalala watoto wa kituo cha
Miyuji kilichopo katika Eneo la Miyuji Mkoani Dodoma.Kituo
kinachoendeshwa na Kusimamiwa na Kanisa Katoliki
Mbuzi huyo alikua ni Moja ya Zawadi
ya Pasaka kutoka kwa wanafunzi wa UDOM waliyopelekewa Watoto Waishio
katika Mazingira magumu katika Kituo Cha Kulelea Watoto cha Miyuji
kinachosimamiwa na Kanisa Katoliki kilichopo Miyuji Mkoani Dodoma
Wanafunzi
wa UDOM wakiwa wamewasili katika Kituo Cha Watoto Cha Miyuji na Kiroba
Cha Unga kama Moja ya Zawadi walizowapelekea watoto hao wakati
walipotembelea kituo hiko cha miyuji kilichopo Maeneo ya Miyuji Mkoani
Dodoma.
Watoto
waishio Katika kituo Cha Kulelea watoto Cha Miyuji Wakiwa wamekusanyika
mara baada ya Wanafunzi wa UDOM kuwasili katika Kituo hiko kilichopo
maeneo ya Miyuji Mkoani Dodoma hapo Jana.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha
Dodoma (UDOM) wakiwa pamoja na watoto waishio kituoni hapo katika moja
ya Mashamba ya machungwa yaliyopo kituoni hapo wakti wanafunzi wa UDOM
walipokwenda kuwatembelea Watoto hao hapo jana
Picha Juu Ni wanafunzi wa UDOM
wakishiriki kuimba pamoja na Watoto hao katika kituo hilo ambapo
wanafunzi wa UDOM walienda kuwatembelea watoto hao jana na kucheza nao
baadhi ya michezo
Baadhi ya Wanafunzi Wa UDOM wakiwa katika Picha ya Pamoja Na Watoto waishio katika Kituo Cha Miyuji kilichopo Maeneo ya Miyuji Mkoani Dodoma wakati wanafunzi wa UDOM walipokwenda kuwatembelea Watoto hao hapo jana.Picha zote na Fadhil Gharib Linga Wa Lukaza Blog - http://josephatlukaza.
Toa Maoni Yako:
0 comments: