Mkurugenzi wa biashara na maendeleo ya shirika la nyumba (NHC) Bw. David Misonge (katikati) akiongea na waandishi wa habari leo katika hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam juu ya uzinduzi wa uuzwaji wa nyumba katika mradi wake mpya  wa mchikichi Ilala jijini Dar es Salaam na ujenzi wa nyumba hizo ambazo zipo nyumba (48) unatarajia kukamilika rasmi February 2013.

Amesema nyumba hizo zenye vyumba vitatu kwa kila nyumba chumba kimoja cha kulala cha kujitegemea na vyumba viwili vinavyotumia choo kwa pamoja na alisema kila nyumba itauzwa kwa shilingi,168,239,748.62 (bila vat) wakwanza kushoto ni Bw. Itandula Gambalagi ambaye ni meneja masoko na utafiti na wa kwanza kulia ni Bw. William Genya  Meneja Mauzo katika Shirika hilo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: