Msanii maarufu nchini Vicent Kigosi almaarufu Ray amekili kuondoka kwa swahiba wake kipenzi  Marehemu Steve Kanumba2 ni mtihani mzito kwake kwani hivi sasa kila mtu jicho litakuwa kwake hususani katika kucheza filamu na watoto.

Akizungumza na BBC, Ray alisema anajua mtihani aliopewa ni mzito lakini amesema atajitahidi kadri ya uwezo wake kuhakikisha anaziba pengo la Marehemu Steve Kanumba hususani katika kucheza filamu na watoto ambao kanumba amewaacha Sophia, Patrick na Jennifer akiendelea kusema kwamba hivi sasa ni mapema kuzungumzia ni filamu gani atacheza nao lakini amekili ni lazima amuenzi swahiba wake.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: