Rais Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa




Rais Kikwete akiwafariji wafiwa  nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho


Rais Kikwete akiongea na wanakamati ya msiba wa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho
Rais Kikwete akiaga waombolezaji  nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho


Rais Kikwete akiongea na wanahabari  nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho.
Rais Kikwete akiongea na wanahabari  nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho. 

PICHA NA IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: