Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Joseph Sinde Warioba, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Said Elmaamri, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo
 Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo katika Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo.
 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Agustini Ramadhan, kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais Jakaya Kikwete na Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakiwapongeza wajumbe wa Tume hiyo baada ya kuapishwa rasmi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam leo.
 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Salim Ahmed Salim, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mbunge wa Viti Maalum, Al-shymaa Kwegiyr, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
ais Jakaya Kikwete, akimuapisha Said Elmaamri, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Picha na Muhidin Sufiani. OMR
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Said Elmaamri, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Picha na Muhidin Sufiani. OMR
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: