Usafiri umekuwa ni mgumu sana leo kutokana na hali ya hewa ya mvua ilikuwa ikinyesha jijini Dar es Salaam.
Kila eneo lilijaa maji...hapa ni maeneo ya Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Njia zilikuwa hazipitiki zimejaa maji.
Magari yalikuwa yanazama kwenye maji.
Hali si hali.
Watu waliamua kutembea kutokana na kujaa kwa maji barabarani na kufanya daladala
Ama kweli kila sehemu palikuwa pamejaa maji.
Hawa ni baadhi ya watu walikuwa wameamua kutembea.
Maeneo ya shoppers Plaza yalikuwa yamejaa maji.
...palikuwa hapafai
Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali ya Dar es Salaam mamlaka ya hali ya hewa imesema tishio la Tsunami linaweza kutokea Pwani ya Tanzania kuanzia saa 1 usiku na saa 3 usiku leo.
Sehemu nyingine zitakazo weza pata Tsunami ni SEYCHELLES, PAKISTAN, SOMALIA, OMAN, MADAGASCAR, IRAN, UAE, YEMEN, COMORES, BANGLADESH, MOZAMBIQUE.
Toa Maoni Yako:
0 comments: