Waziri Mkuu  Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki ,  Joshua Nassari kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 18,2012.
Mbunge wa Busega, Dr. Titus Kamani (mwenye kaunda suti katikati) akiwa katika picha ya pamoja na maktari wanafunzi kutoka chuo cha Bugando, Mwanza ambao walitembelea Bunge Aprili 18, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: