Kijana ameamua kujiajili mwenyewe kwa kubeba mizigi wa kutumia mkokoteni jambo ambalo ni wachache wanaliona nila msingi, wengi wao huwa wanawadharau na kuishia kukaa vijiweni.
Huyu nae ameamua kujiajili kwa kuomba omba barabarani kwenye magari hasa wakati kunapokuwa na foleni hali ambayo huleta wengi wao kuwa vibaka. Sitaili hii huwa inafanyika sana katika barabara za jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments: