Kwa mujibu wa Elizabeth Michael (LULU) alipohojiwa katika kipindi cha Take One ya Clouds TV kinachoendeshwa na mwanadada Zamaradi Mketema mwaka 2011 aliwahi kusema kuwa amefikisha miaka 18 na hii ilikuwa ni 2011. Sasa jamani mbona wazazi wake nao wanatuchanganya juu ya miaka ya mtoto wao????
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

2 comments:

  1. hilo swali kila mtu aanjiuliza sababu wazazi hawa hawa wanasema lulu ndio tegemeo lao je walimuongoza ipasavyo? mana kutwa habari na matendo machafu tena uzuri yabarepotiwa je walitafuta wanaharakati wamsaidie kwa mtoto wao au sbb kapatwa na balaa? wazazi tunachangia sana maharibiko ya watoto,kwann hawakukana hadharani kuwa mtoto wao kaongopa umri? leo nimestuka namuona baba yake lulu anaongea hivi huyu mzee wa kichaga alikuwa wapi mie nilijuaga hana baba> kumbe wazazi wote wapo na walikuwa wanayatazama matendo ya mtoto wao? hili ni fundisho kwao na kwa mtoto haiwezekani mtoto mdogo akawa na matukio mazito utadhani mtu mzima na matendo ya lulu hata mtu mzima hawezi kuyatenda. tusubiri kesi iendeshwe kwa haki itakavokuwa poa lkn fundisho kalipata yeye na wazazi wake.na wengine wote tusiokaa chini kuongea na watoto wetu lipi baya lipi zuri.

    ReplyDelete
  2. Acheni haki itendeke, acheni kumuhukumu manake nyie sio mungu

    ReplyDelete