Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Ommy Dimpozzz akifanyiwa mahojiano mara baada ya kuwasili kwenye tamasha la Diamond Are Forever lililofanyika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.
 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Diamond Platinum akiwarusha mashabiki waliohudhuria katika tamasha lake la Diamond Are Forever lililofanyika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.
 Diamond akionyesha umahili wake wa kuimba.
 ...Kumbe jini kisilani kaingia katika utamu wa penzi langu, alikuwa akiimba
 ...hapa alikuwa akimwaga mauno mbele ya mashabiki waliohudhuria.
 Janeth Sostenes akifanya mahojiano na Godwin Gondwe.
 ...Aha! madansa wa Diamond wakiwajibika nae
 Mashabiki wa kutosha wakifuatilia show.
 ...Diambond akiwajibika vilivyo
 ...Madansa wakiwajibika
 ...Safi sana 
 ...Utata ulianzia hapa pale Dimond alishuka stejini na kwenda kwenye meza waliokuwa wamekaa akina Steve Nyerere na Mboni Masimba na ndipo alipopewa t-shirt ambayo kwa mujibu wa udadisi na uchunguzi wa kudadavua mambo uliofanywa na mtandao huu wa Kajuna Blog, ilisemekana kuwa t-shirt hiyo ilikuwa inapicha ya mwanadada ambaye alikuwa akitoa na Diamond kwa sasa. Na ilikuwa ni maalum kwa ajili ya kumrusha roho Wema Sepetu.
 ...Mwanadada Mboni Masimba akimkabidhi Diamond t-shirt huku Steve Nyerere akimtunza, Diamond alikabidhiwa t-shirt ili aipeleke kwa mwanadada Jokate Mwegelo.
 ...Hapa akikabidhiwa t-shirt na kupewa maelekezo mahali pa kuipeleka.
 ...Baada ya hapo kumaliza lile 'movie' la kwanza aliendelea na kupita katika meza mbali mbali huku akiwasalimia wageni waalikwa.
 ...Akiimba na bendi ya Odama ambayo alimpa ushirikia mkubwa.
 ...Mauno yamekolea
 ...Akiendelea kutoa shukrani kwa wageni waliofika kumsapoti.
 Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Q-chief  akimpa sapoti mdogo wake Diamond
 ...Ehe! utata mkubwa ambao ulizuka ni hapa ambapo mwanadada huyu alianza kumtunza dola za Kimarekani, Diamond
 ...Diamond aliendelea kuimba wakati mwanadada huyo akimtunza kwa kutoa tabasamu na kicheko
Mwadada huyo hapa alikuwa amemaliza na kuondoka kwa mikogo...
Baada ya Diamond kurudi stejini ndipo mwanadada Wema Sepetu alienda kumtuza na pesa zake kukataliwa. Wema alikaa akimbembeleza kwa muda wa dakika 10 japo zoezi lake halikufanikiwa.
 ...Diamond aliendelea kuwajibika huku Wema akijaribu kumbembeleza
 ...Bembeleza, bembeleza na wewe, ndiyo kwanza jamaa aliendelea kuwajibika
 ...alipoona amebembeleza bila mafanikio alichukua uamuzi wa kuzitupia pesa zile hela stejini huku akiondoka huku akiwa amenuna
 ...Shamim Mwasha akilaumu kitendo alichokifanya Diamond cha kukataa hela alizoenda kutuzwa na Wema... Alisema, 'Haiwezekani hii ni aibu sana'
Pesa alizokataa kuzichukua Diamond zikiwa zimetupwa 
 ...Hapa alipiga kitu cha 'Nimpende Nani'
 ...Jokate na marafiki zake wakishangilia
...Baada ya tukio hilo kutokea Mange Kimambi ambaye alikuwa ni mpambe wa Wema alimuita mshereheshaji wa tamasha hilo, Taji Liundi na kumuomba amuite Diamond ili aende kumuomba msamaha na ndipo Diamond akakataa.
 ...Diamond alishuka na kuelekea kwa mwanadada Jokate Mwegelo na kuanza kukata mauno.
 ...mwanadada Mboni Masimba akiwa amevaa t-shirt ambao zilileta utata.
 ...Aha! nimependeza sana
Taji Liundi akimbembeleza Diamond ili aende kwa Wema ndipo Diamond akakataa.
 ...Mwanadada Mariam (Miss Popular) akimfuta jasho Diamond wakati Taji Liundi akimbembeleza ili aende kwa Wema.
 ...Diamond akiserebuka na warembo
 Marafiki wa Wema Sepetu wakijaribu kumbembeleza wakati akimwaga chozi... huku watu wengine wakishangilia na kuimba aibu yetu au aibu yao???
 ...hapa mwanadada akijaribu kubembeleza bila matumaini.
 Msanii wa kizazi kipya, Ommy Dimpozzz akimpa sapoti Diamond...huku akitoa ushuhuda wa maisha yake na    ya Diamond walipotoka.
 ...baada ya ujumbe wa Ommy Dimpozz, Diamond alimwaga chozi na hapa alikuwa akijifuta.
 Amini nae hakuwa nyuma kumpa sapoti
 ...Barnaba, Amini na Diamond wakiwajibia
Baada ya Barnaba kuimba wimbo wa 'Napembelezwa' ndipo mwanadada Wema alienda kumtuza na kutoa machungu yake. Kwa mujibu wa uchunguzi na maoni ya watu mbali mbali walikiona kitendo cha Wema Sepetu kwenda mbele kumtuza Diamond ni sawa na kujidhalilisha na kuhusishwa na mambo ya kishirikina.
Pia Justmine Loyce Bobbie alisema: Kwanini Wema anamfatafata mtoto wa watu kila kona? amuache na maisha yake jamani.. mbona Diamond hamfatilii lol, YATAMSHINDA
Upande wake; Veronica Stima alisema: Pale kilichokuwa kinatafutwa ni jinsi gani show ya Diamond 4ever iandikwe...hivyo akaona atafute 'lead' auze sura kwamba kamtunza Diamond kwa vile watu tunajua washapotezeana hivyo ni lazima story iiuzike na hakukubali kufunikwa na mdada alotoa dola kwa Diamond... mdada kafanikiwa though katika style ambayo hakuitegemea, usupastaa kazi make keshawapa watu cha kuongea... If I was here, ningechill tu hata mbele nisingesogea kwa vile what goes around, always come back around... ndiyo yanayotokea.. Big up kwa Diamond kwa vile kashow love mwanzo mwisho harafu hakujichetua mtoto wa kiume!!! Ili dunia izunguke watu kama kina Wema lazima wawepo so mwacheni aishi kadri impendezavyo nafsi yake.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

19 comments:

  1. Watanzania bwana ELIMU DUNI ;MAARIFA HAKUNA NDO MAANA MNAUA ALBINO kWA MAWUZO MAFUPI !WEMA KAENDA TUNZA KAMA MSHABIKI SASA IMANI ZA KISHIRIKINA ZITOKE WAPI :MTACHELEWA KWA IMANI ZENU

    ReplyDelete
  2. Yatamshinda nini nae katunza tuu. mmyatawashinda mnaomfatilia na kuchelewesha life zenu na imani zenu .sijaona aibu alotia .

    ReplyDelete
  3. Mbona kawaida tu? Huyo Diamond ndo mshamba, shule inasaidia sana jamani. Wakipataga hizo senti wakumbuke basi na kurudi shule, mwe.

    ReplyDelete
  4. uswahili kazi haufai..shule muhimu hasa ya biashara kwasababu pale yupo kibiashara na wema ni mteja plus friends wake waliokuja kumuunga mkono bwana mdogo wa tandale sasa kitendo alichokifanya kibiashara amezingua mbaya..no marketing than losing of customer i mean wema fans..

    ReplyDelete
  5. JAMANI JAMANI HIYO NDIYO HALI HALISI ILIYOTOKEA KWENYE SHOW YA DIAMOND WALA HAKUNA UMBEA. TUNAWAKILISHA MAANA KAZI ZETU NI KUSIMULIA WATU KINACHOKUWA KINATOKEA ENEO LA TUKIO. ASANTENI SANA.

    ReplyDelete
  6. I can call the show as rusha roho party it was to be attended by Ladies only,people are not serious with their works,you still have a veeery very long way to go,just my perspective.

    ReplyDelete
  7. mh lkn mm nashangaa kwenda kumtunza diomon ni kujidhalilisha tu ujue nn anaona bado unamfatata angalia maisha yako bana the your past is over wema acha kujidhalilisha

    ReplyDelete
  8. hiyo hela kama ulikosa wa kumpa kawape watoto yatima bana hee ww vipi unafikiri diomond anashida na hela yako wala si ushirikina wala nn kama mm wala nisingekuwepo hapo ya nn bana kumfata mtu mapenzi yalishaisha wama pray to God atakupatia zaidi kuliko kujishusha

    ReplyDelete
  9. First of all Diamond ur a douche bag,man don't do that to women, ur not that special my friend,remember one day this girl was your fiance,I don't think she did it for publicity or anything bad,but its just to support you as a musician, so WEMA don't worry I think on his mind he already knew and planned what he was gonna do if you went on the show.Mambo ya kiswahili hayo Diamond,To me I don't support people like you.

    ReplyDelete
  10. Wema mdogo wangu,usikate tamaa mungu yupo na wewe.Jitahidi ushinde hiyo mitihani tu

    ReplyDelete
  11. ningekuwa mimi hata nisingeenda kwani kwa siku hiyo burudan ilikuwa hiyo tu,ok umeenda ya nini kujipelekapeleka mbele tatizo anafanya jambo bila kufikilia na hiyo itampa sana shina kaweka mbele magazeti ili auze ushazeeka mama tulia omba mungu atakusaidia by da way Daimond alichofanya fresh tu tena sana kumuumbua ili akome lol

    ReplyDelete
  12. Yaani wema ndio kampaisha Diamond kabisa manake kwanza diamond alichelewa kuingia hiyo ndio ingekua habari kubwa ila media wameacha hiyo na wema kashika hatamu. Pole dada ila usiwaamini sana wanaokutetea ndio hao hao waliokuponda ulivyofumaniwa na pia walimponda diamond kwamba hakustahili kuwa na wewe leo wanamshabikia. Fanya vile moyo wako unaona sawa, suala la kujidhalilisha kwa wema ni kitu cha kawaida, pengine diamond alimuogopa Tunda mana.

    ReplyDelete
  13. Yaani wema ndio kampaisha Diamond kabisa manake kwanza diamond alichelewa kuingia hiyo ndio ingekua habari kubwa ila media wameacha hiyo na wema kashika hatamu. Pole dada ila usiwaamini sana wanaokutetea ndio hao hao waliokuponda ulivyofumaniwa na pia walimponda diamond kwamba hakustahili kuwa na wewe leo wanamshabikia. Fanya vile moyo wako unaona sawa, suala la kujidhalilisha kwa wema ni kitu cha kawaida, pengine diamond alimuogopa Tunda mana.

    ReplyDelete
  14. For crying out LOUD! Diamond real men dont do that my friend ,ahhhh even if you broke up,u can still be friends nad no need to act like a lay person esply in public,who are ur advisers????? what was dat t-shirt sapos to mean USWAHILI MTUPU!!!,am not a fan of anyone hare but what is crap is simply crap nd no need to praise something that is childish!!! I mean does he knws hwo are his fan ,nd does he knw how to treat his fan,men use ur brain,hata ya kuzaliwa kama shule haipandi basi!!!! nkt!

    ReplyDelete
  15. wema ndo anajipendekeza, kwanza ndo aliemwacha diamond, so kwenda kumtunza kuna maana gani? big up kwa diamond kwa kuonyesha msimamo, kwanza demu mwenyewe malaya, anamegwa mpaka na mateja, ni kujitia gundu tu. juzi 6 april kaitosa show ya FNL EATV nilimwona mshamba sana huyo demu! she must be a BITCH.

    ReplyDelete
  16. hili ni chezo tu...wote wanajua walikuwa wanafanya nini... na show imekuwa yenye vituko na ladha. watu wanaenda kwenye show siku hizi ili waone wema atafanya nini na diamond atarespond vipi.

    ReplyDelete
  17. mii na mpa wema big up saxa bdo mapenzi yapo kwa daimond na wata rudiana tu alafu wambea wote kimya! me na msaport ndugu nyangun iliyeita wabongo hakuna kitu kwa sababu watu walikuwa wanafuraiya lkn mwisho wa yote mambo yamekuwa mambo daimond brather mtt bdo anfili bodi? big up wema my no 0713413161

    ReplyDelete
  18. I must say this is sad... Diamond..really??
    I thought you being in a position you hold...you should be an example...is that stupidity, ignorance or childish pride??
    Be a gentleman...
    You are in business...and i dont think you need a business plan to realize that attitude is everything.. Shame on you!!!

    ReplyDelete