Hizi ni moja ya ofisi za polisi wa usalama barabarani zilizopo pande mbali mbali za jijini la Dar es Salaam. Nia na lengo la kuweka ofisi hizi ni kuwarahisishia askari wa usalama barabarani pindi wanapokukamata umefanya kosa hakuna haja ya kulekana kituo cha polisi ukalipie faini yako bali unalipia hapo hapo maana kila kitu kinapatikana. Kwa hiyo wale madereva wakorofi hiyo ndiyo dawa yao. Kaa chonjo!!!
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: