Wanamitindo walijimwagaaaa...
ehe! hapo vipi?
Mbunifu chipukizi wa mavazi akiwa na wanamitindo waliyovaa mavazi aliyoyabuni.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa mtindo Asia Idarous Khamsin akiwakaribisha viongozi wa Kikale Youth Care katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Katika onyesho hilo palichangishwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha kuhudumia watu walioathirika na madawa ya Kulevya nchini Tanzania ambacho kitakachojengwa huko Kikale, Rufiji mkoani Pwani.
Katibu wa Kikundi cha Kikale Youth Care, Bw. Mauldi Mlawa akiongea na wageni waliohudhuria katika onyesho la 'Lady in Red' Reloaded 2012 lililofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Ujumbe wa Kikundi cha Kikale Youth Group ulifika katika onyesho hilo kwa lengo la kufanya harambee ya kuchangisha pesa kwa ajili ya waathirika wa madawa ya kulevya.
mambo ya Sairiamu designer
Mbunifu wa mavazi Gabriel Mollel ambaye anapeperusha bendera ya nembo yake ya maasai
Toa Maoni Yako:
0 comments: