Moja ya vitu mabavyo huwa vinapigiwa kelele kila siku ni ubebaji wa wanyama hasa wale hatari kwa staili ambayo si salama kwa watu ambao wanapita pembezoni mwa gari hili. Ukiangalia kwa umakini utaona jinsi mbwa alivyobebwa kihorela, anaweza kuwajeruhi binadamu kwa vile hajabebwa kwa tahadhari. Ningewaomba wananchi kuchukua tahadhari kabla ya hatari.
Home
Unlabelled
CHUKUA TAHADHARI KABLA YA HATARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: