Kutokana na vitendo vya uhalifu kushamiri katika kata ya Kahe iliyoko wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wananchi wa kata hiyo wameamua kujenga kituo cha polisi cha kisasa ambacho kitasaidia kupunguza hali ya uhalifu iliyopo kwa sasa.

Wakizungumzia hali hiyo wakati wa harambee ya kuchangisha fedha za ujenzi wa kituo hicho, wananchi hao wamesema kukamilika kwa kituo hicho kutawasidia kuondokana na vitendo vya uhalifu ambavyo vimekithiri katika maeneo hayo hasa nyakati za mavuno hali inayopelekea kurudisha nyuma maendeleo yao.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: