Umati wa watu waliokuwepo katika tamasha la bongo 50 lililoletwa kwenu na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, wakifurahi kwa shangwe ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Fid Q akiwakilisha vilivyo ndani ya tamsaha la bongo 50 lililoletwa kwenu na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, wakifurahi kwa shangwe ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Shangwe na vigelegele zilitokea wakati watu wakiukaribisha mwaka kwa nderemo ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: