Keki inayoonyesha kiatu maana mtoto aliyekuwa anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa huwa anapenda viatu hasa virefu.
Mtoto aliyezaliwa akiwashukuru watu kwa kuhudhuria, maana hakutegemea kukuta watu kwa vile aliandaliwa  surprise birthday.
...jamaa akitoa mistari kidogo
Mheshimiwa Jabir akiwapa watu vituko viwili vitatu wakati sherehe ikiendelea
...wageni wakibadirishana mawazo
story zimenoga...


Hata sisi tulikuwepo, nikiwa na maiwaifu wangu.
...huyu bwana Imani alikuwa akitoa burudani sana mpaka watu hawakuboreka walitamani sherehe iendelee tu
Mema Magreth Berege akikata keki
wakiimba ule wimbo wetu wa maadhimisho
...vyombo vinashuka taratibuuuuuuu
akitoa shukrani zake za pekee kwa wageni waliohudhuria
...Bwana Imani akitoa vichekesho
...Mema Magreth akimlisha mpenzi wake Jacob ambaye alimwandalia surprise birthday iliyofanyika Hugo Bar jijini Dar es Salaam. 
...Mema Magreth akisema asante mpenzi wangu...hata sikutarajia
Mrs CA nae hakuwa nyuma kulishwa keki
Bwana Lema nae hakuwa nyuma katika kulishwa keki 
...dokta kula na wewe keki
Jabiri akimwambia Mema achague kipande kikubwa 
....Hicho sitaki nataka hichi cha chini ndiyo kikubwa
...Na mimi kikubwa si unauona huu mwili,"Imani akimwambia Mema Magreth
...ngoja nikusaidie ifike mdomoni maana naona unanilisha wa uoga
....Asante rafiki kwa kuja
...pacha wake na Jacob nae hakuwa nyuma kula keki
...kila mmoja alionyesha staili yake ya kula keki
....Faraji yeye aliamua kumlisha mwanadada Mema Magreth
...Hilder nae hakuwa nyuma kula keki
...hapa inabidi nimlishe dada kipande kikubwa
...akimlisha pacha wake Tully
...mwanadada akisema hii keki itakuwa tamu sana
...shosti na wewe kula
...hata mimi mzee wa Kajunason Blog (Habari na Matukio) sikuwa nyuma
Akimlisha wifi yake keki
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

3 comments:

  1. Ima (The Designer)31 January 2012 at 17:33

    kaka picha zimetulia sn, na jana tuli enjoy vyakutosha.

    ReplyDelete
  2. ASANTE SANA KWA SAPOTI YAKO MKUU

    ReplyDelete
  3. kha dada unapenda publicity saana amua kuwa mwanamziki basi tena taarabu maana ndio itakufaa na shepu yako huyo mumoe Jack anakazi sana...manyama uzembe hayo vaa nguo zinazoendana na ww.

    ReplyDelete