Leo ni siku ya kuzaliwa mdau na Blogger maarufu Ahmad Issa a.k.a  MichuziJR ambaye anaendesha blogu ya JIACHIE. Mdau huyu leo anatimiza miaka yake kadhaa baada ya kuifyeka vilivyo lakini Ijumaa yaleo ameitumia kumshukuru Mungu kwa baraka na afya tele aliyomjalia na kumsihi amzidishie miaka mingine kadhaa huko mbele.

Blogu hii inaungana na wadau wote wa Mitandao ya Jamii ya Father Kidevu Blog, Mta kwa Mtaa Blog, Michuzi Blog, Kajunason Blog, JIACHIE, na mingine mingi kukutakia heri na fanaka katika kuendeleza libeneke huku liendapo.

HAPPY BIRTHDAY!! TO YOU!!! HAPPY BIRTHDAY TO YOUUUUUU!!!
KATA KEKI TULEEEEE!!!
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: