Rais Jakaya Kikwete akiwa na mazungumzo na Makamu wa Rais Dr Mohamed Ghalib Bilal na Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda mara baada ya kurejea jijjini Dar es salaam kutoka Kampala, Uganda, alikohudhuria mkutano wa siku mbili wa wakuu wa nchi za maziwa makuu
 Rais Jakaya Kikwete akiagwa na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Mh Nsavike G.  Ndatta katika uwanja wa ndege wa Entebbe leo Desemba 17, 2011 asubuhi wakati akiondoka Uganda kurejea nyumbani baada ya kuhudhuria mkutano wa siku mbili wa wakuu wa nchi za maziwa makuu
Rais Jakaya Kikwete akiwakabidhi Bw. Clement A. Chagula na bintiye Olivia A. Chagula medali kwa niaba ya baba na babu yao Marehemu Dkt. Wilbert Chagula, ambaye aikuwa ni mmoja wa mawaziri katika serikali ya awamu ya kwanza na mmoja wa  watu maarufu waliotunukiwa nishani katika kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru. Bw Chagula, ambaye ni mtoto wa marehemu, hakuweza kufika Dar es salaam kupokea medali hiyo na Rais alipokuwa Kampala akatumia nafasi hiyo kumpatia leo asubuhi katika hoteli ya Speke. Commonwealth Resort

PICHA NA IKULU
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: