Wageni waalikwa wakijadiliana mawili matatu katika sherehe ya kuwapongeza Bw. Jacob Lukwaro na Francis Mosha iliyofanyikia Mamas Pub kinondoni jijini Dar es Salaam.
 Furaha, kila mtu na wake.
 Vicheko vya hapa na pale vilitawala
 Bw. Jacob na maiwaifu wake to Magreth akipokelewa kuingia ukumbini
  Bw. Jacob na maiwaifu wake to be Magrethwakifurahia jambo


Bw. Jacob Lukwaro na Francis Mosha wakiwasha mishumaa kwa ajili ya kuashiria mwanga katika maisha yao.
Bw. Jacob Lukwaro na Francis Mosha wakikata keki wa pamoja na kwa upendo na furaha.
Keki yao yenye Ujumbe, May Your Dreams Come True Jacob and Francis.
Magreth akikata keki kwa ajili ya kuanza kulishwa wageni.
Bw. Jacob akitoa utambulisho wa maiwaifu wake to be Magreth mbele ya wageni waliohudhuria sherehe hiyo.
Bi. Magreth akimkaribisha shemeji yake Francis Mosha ili aweze kutoa neno.
Bw. Ally Jamal akijitambuslisha
...Huyu ndiyo waifu wangu to be huyo jamaa mwenye shati nyeupe alikuwa akimtambulisha mchumba wake
Bw& Bibi Cathbert Angelo ambao ni wamiliki wa Blog hii wakiwasalimia wageni waliohudhuria sherehe ya kumpongeza Jacob na Francis katika kuikumbuka siku yao ya kuzaliwa.
Bw. Faraji a.k.a Mzee wa Zantel nae aliwakilisha
Bibi Tuli nae hakuwa nyuma
...Wasaa wa kubadilisha mawili matatu nao ulikuwepo
Bw. Francis akimlisha keki bibie wa Jacob huku jamaa akishuhudia kwa tabasamu.
Bw. Jacob akimlisha keki maiwaifu wa Ally Jamal
Bw. Jacob akimlisha keki Ally Jamal a.k.a Jembe
Sasa tulishane na sisi hapo walikuwa wakijadiliana Jacon na Francis huku wakiwa wameshikiwa sahani na mdogo wao.
Aha! Francis hilo likipande ni kubwa sana punguza
Bi. Ester Ulaya nae alikuwepo
Nami mwenyewe niliwakilisha
Faraji nae alikuwepo
Safi, rafiki nao walikuwepo
Tuli nae aliwakilishaaaa
Chearsssssss



Wakati wa maakuli nao ulifika
Bw. Jacob Lukwaro na Francis Mosha wakishukuru watu waliofika katika sherehe yao.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments: