Baba na mwanaeeeeeeee nao walionyesha utalaamu wao.
 Moja, mbili.........
 tatuuuuuuuuu twendeeeeeeeeee
 Jamaa anauza rohooooo
 Jamaa kiboko sana wa kucheza kiduku na pikipiki
Ah! kama anaruka kwa ndege kumbe ni pikipiki.... Mashindano haya hufanyika kila jumapili katika viwanja vya Tanganyika Perkas na kuhudhuriwa na watu wengi zaidi. Kama haujawahi kuona uhondo huu...karibu sana
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: